300x250 AD TOP

468x60 Ads

BY TZ BLOG DESIGN. Powered by Blogger.

Monday, March 24, 2014

Tagged under:

USHUHUDA KUTOKA KWA MTEJA WETU (client's testimony)

TZ blog design imekuwa ikifanya vizuri kwenye masuala ya ushauri wa kuifanya blogs za hapa nchini tanzania ziendelee na kufanya blogs kuwa chanzo cha mapato katika maisha ya kila siku.
je unajua hapa tanzania kuna blog zaidi ya 5000 na tovuti yaani websites nyingi ..Tanzania kwa sasa inakuwa kwa kasi kwenye masuala ya mtandao.kulingana na ukuaji wa uchumi,biashara na viwanda
kuna faida nyingi mno za kuanzisha blog kama chanzo cha kipato..blog inaweza kuanzishwa na mtu yeyote lakini je ni jinsi gani ya kuindeleza ili iweze kukunufaisha?.watu wengi kote duniani wameanzisha blogu ila wengi wameshindwa kufanikiwa katika kuindeleza..blog au website yeyote ile inahitaji werevu wa kutosha katika kuifanya iweze kudumu..kulingana na utaalamu wetu kuna vipengele vitatu muhimu unavyotkiwa kuvijua ili uweze kunufaika na blog yako
1.MUONEKANO WA BLOG YAKO
hiki ni kitu muhimu sana kwenye blog..muonekano.Wafuatiliaji wengi wa blog yaani visitors wanapenda kuona blog yenye muonekano mzuri wa kuvutia wenye mpangilio maridadi isiyomchosha mfuatiliaji.ila wengi wameshindwa kwa hili kwa sababu ya kukosa utaalamu..
2.TAARIFA YA KUANDIKA (BLOG CONTENTS)
blogs nyingi hapa nchini Tanzania wamekuwa wakifanya mchezo wa kuibiana taarifa maarufu kama copy and paste..ila bila kutambua kuwa kuna taarifa nyingi sana zinazoendelea duniani kote..kila siku kuna taarifa lukuki mpya..blog yetu ya kwanza kutengeneza inayoitwa walimwengu imefanikiwa ndani ya mwezi 1 kuwa website ya 130 nchini tanzania kutokana na kuwa na blog contents nzuri za kuelimisha ,kufurahisha na kusisimua..Tz blog design tutakupa ushauri ni jinsi gani ya kuandika contents zitakazowavutia watu wengi na kuongeza wafuatiliaji yaani visitors
3.KUTANGAZA BLOG YAKO
ili uweze kuongeza wafuatiliaji kwenye blog yako.Kuna njia nyingi za kuweza kufanya blog yako ikue na kupata watu wengi.Muhimu ni kufanya ijulikane kwenye mitandao ya kijamii kama vile facebook,twitter,google + na youtube.ila kuna mbinu za kuifanya ijulikane kwa uharaka..je unazijua?
TZ blog design itakusaidia kwa hilo

je unataka kuwa blog maarufu hapa nchini hebu ona hii blog website tuliyoitengeneza na kutoa ushauri ..inavyoweza kufanikiwa..kulingana na alexa rank;walimwengu
imeanzishwa mwezi mmoja sasa..je unataka ufanikiwe hivi .tupe nafasi tujusaidie